INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Wednesday, November 4, 2015

Mume Asema Bado Anampenda Shamsa Ford.

ALIYEKUWA mzazi mwenziye na staa wa filamu Bongo, Shamsa Ford, Dickson Matoke amesema kuwa ndani ya moyo wake bado anampenda sana na kumthamini mkewe huyo kama mama wa mtoto wake siku zote za maisha yake.
Akichezesha taya na Amani, Dick alisema kuwa japokuwa wametengana na mzazi mwenziye huyo lakini ukweli unabaki kuwa yule ndiye mwanamke wa maisha yake popote aendapo hata kama hawapo pamoja kwa sasa.
“Shamsa ni mwanamke wa kipekee na sijaona tangu nimetengana naye, namuomba Mungu siku moja naamini atarudi na tutakuwa pamoja kama zamani ili tumlee mtoto wetu, Terry,” alisema Dick.
Chanzo: GPL

No comments:

Post a Comment